Jisajili
Anza kupata pesa leo
Bila kutembelea ofisi au kuzungumza na mtaalamu. Baada ya kujaza fomu, utapata jina la mtumiaji na nenosri la kutumia kuingia kwenye programu. Jisikie huru kutengeneza pesa!
Kwa kubofya Inayofuata, ninakubaliana na Sera ya Faragha
Oda za usafirishaji au huduma za kila siku
Lipwa pesa mara tu ukishakamilisha oda
Mapato yako ni juu yako
Oda yako ya kwanza inakusubiri!
Sajili mtandaoni
Itachukua muda wa chini ya dakika 3

Pakua programu yetu
Ni rahisi kuingia

Karibu!
Tazama mafunzo na anza kuchukua oda
Programu ya mkononi yenye oda halisi
  • Chagua oda zenye thamani
  • Maelezo yote unayoyahitaji yapo kwenye skrini yako
  • Takwimu za kina za mapato
Taarifa ya muhimu sana
Katika programu yako, unaweza kukamilisha aina zote za oda. Iwapo unataka kusafirisha watu au mzigo, utahitaji uwe na chombo cha usafiri. Pia, kuna kazi za wafanyakazi wa nyumbani, matarishi na wataalamu wengineo. Jisajili haraka, pakua programu yetu, nawe utapata idhini ya kufikia oda kutoka katika eneo lako unalopenda la shughuli.
Programu ina maelezo yote kuhusu oda, ikijumuisha bei yake pamoja na njia ya malipo. Watumiaji wengi huchagua malipo yasiyo ya taslimu — ni rahisi kwa wateja na watendaji.
Kiasi cha kamisheni utakacholipa kinategemeana na eneo, promosheni za sasa na masharti ya ushirikiano wetu. Mara zote unaweza kupata asilimia ndogo. Mara zote programu yetu inakuonyesha ni kiasi gani utakachopata kwa kukamilisha oda.
Chukua oda wakati wowote unaokufaa
Jiunge sasa
Jisajili